Lyrics Harmonize – Kainama ft. Burna Boy, Diamond Platnumz

Harmonize ft. Burna Boy, Diamond Platnumz – Kainama Lyrics

Download Mp3

Download Video

[Intro]

Konde boy
They call Burna
It’s Platnumz
Eh eh eh eh

[Burna Boy]

Na you dey make me sit down dey sing this song (galagala)
You come dey make me feel like I do you wrong (Jagajaga)
If you want am I go give you more (Jara jara)
Today today, you go give me love (sawa sawa oh)

Eh eh
Nasifiwa kwa mapenzi na madem
Wanapagawa mpaka wananiita handsome
Burna Boy, twaeka kila sehemu
Wanapagawa mpaka wananiita handsome

Nasifiwa kwa mapenzi na madem
Wanapagawa mpaka wananiita handsome
Konde Boy, twaeka kila sehemu
Wanapagawa mpaka wananiita handsome

[Diamond Platnumz]

Adeka buru kwa mandera
Rudi kwa bibi kinondoni
Amber Lulu kunja dera
Mwanangu Gigi simuoni, aje!

Aah inama (Mama)
Aah inuka (Baby show them)
Aah inama (Hehehee)
Aah shika ukuta (Waonyeshe Ulivyofunzwa)
Aah inama (ah hii, go down baby)
Aah inuka (Give it to them baby)
Aah inama (Heeehe)
Aah shika ukuta
Ruksa Kutunza

Sio sura sio shepu
Mi nikimuona taabani
Hivi si Nuna, sepetu
Amanimuite jina gani?

Beiby gyal your body killer (wee)
Mwendo kama caterpillar
Miguu ya pombe tequila
She dey burst my mind

Ba mutu ba Congo Kabila
Madongo Lunyamila
and she so sweety, vanilla
She dey burst my mind (Oh oh oh)

Nobody sexy like my baby (Mmmmh)
Tena Mwepesi akiwa kwa bedii

Adeka buru kwa mandera
Rudi kwa bibi kinondoni
Amber Lulu kunja dera
Mwanangu Gigi simuoni, aje!

Aah inama (Mama)
Aah inuka (Baby show them)
Aah inama (Hehehee)
Aah shika ukuta (Waonyeshe Ulivyofunzwa)
Aad inama (ah hii, go down baby)
Aah inuka (Give it to them baby)
Aah inama (Heeehe)
Aah shika ukuta
Ruksa Kutunza

[Harmonize]

Oya Gyal dem
Toto nyau poli
Ana vimacho mlegezo gololi
Katika game, funga tu goli
Hatumalizagi mchezo ukae goli

[Diamond Platnumz]

Kilima kilima (Panda kilima)
Baby kilima (Chii)
Kisima kisima (mamba kisima)
Naingia kisima
Nizame mpaka chini (Oooh)
Ebu, yaani katoto kachafu kama bata (eeh)
Ah ah, nami nakafanya ndafu nakang’ata

Salamu ziende kwa wanjala
Doni, Masha, kitasa kwenye bunyeru
Waambie simba kacharara
Anataka msambwanda kwa buku jeru, aje

Aah inama (Mama)
Aah inuka (Baby show them)
Aah inama (Hehehee)
Aah shika ukuta (Waonyeshe Ulivyofunzwa)
Aah inama (ah hii, go down baby)
Aah inuka (Give it to them baby)
Aah inama (Heeehe)
Aah shika ukuta
Ruksa Kutunza

[Burna Boy]

Nasifiwa kwa mapenzi na madem
Wanapagawa mpaka wananiita handsome
Burna Boy, twaeka kila sehemu
Wanapagawa mpaka wananiita handsome

[Diamond Platnumz]

Nasifiwa kwa mapenzi na madem
Wanapagawa mpaka wananiita handsome
Simba, ma vision nitashame
Vile madem wao nawapita handsome

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*